Historia ya Tanzania na maadili
MTIHANI
MTIHANI WA OFA DARASA LA IV JULAI 2025
HISTORIA YA TANZANIA NA MAADILI[A07]
1.Mtihani huu una jumla ya maswali matano{06}
2.Jibu maswali yote kulingana na maelekezo ya kila sali
3.Majibu yote yaandkwe kwa wino wa buluu au mweusi
4.Simu haziruhusiwi kwenye chumb acha mtihani
5.Kumbuka kuandika jina lao kamili kwenye nafasi uliyopea
KWA MATUMIZI YA MTAHINI TU
Namba ya
swali
Alama Saini ya mtahini Saini ya mthibiti
1.
2.
3.
4.
5.
6.
Jumla1. SEHEMU A (ALAMA 20)
Jibu vipengele (i) – (x) kwa kuchagua jibu sahihi na kuandika herufi yake katika
kisanduku ulichopewa.
i. Eneo la bonde le isimila lina urithi unaohusu nini? [ ]
A. Zana za mawe
C. Michoro ya mapangoni
B. Zama za kale
D. Mifumo ya umwagiliaji
ii. Sofia huvaa sweta lake wakati wa baridi kali. Vitendo hicho kinaonesha nini kati ya
yafuatayo?
A. Kuthamini wengine
C. Kijithamini [ ]
B. Kuthamini mali ya umma
D. Kujali wengine
iii. Neema anasifika kwa kuwajali watu wengine. Ni matendo gani kati ya haya
hufanywa na Neema?
A. Kuwasaidia wazee mizigo
C. Kuvaa nguo safi
B. Kula chakula bora
D. Kuwahi shuleni [ ]
iv. Tunapokuwa na uhusiano mwema na watu tunazuia jambo gani kati ya haya?
A. Ugomvi na malumbano
C. Kutumia lugha za staha
B. Kutengeneza marafiki wengi
D. Kupendwa sana [ ]
v. Ni faida gani tunayoweza kuipata kutokana na kushirikiana na watu katika kazi
mbalimbal
A. Kutokumaliza kazi
B. Kurahisisha kazi
C. Kufanya kazi kuwa ngumu [ ]
D. Kutumia muda mrefu kufanya kazi
vi. Kwanini tunapaswa kukataa vitendo vya rushwa? [ ]
A. Rushwa huleta haki wa watu wote
B. Rushwa huleta utajiri wa watu
C. Rushwa huwanyima wengine haki
D. Rushwa hurahisisha maisha
vii. Ni ipi kati ya zifuatazo ni kazi ya zana za uvuvi?
A. Jembe
B. Shoka
C. Shuka [ ]
D. Ndoano
viii. Ni kifaa kipi kati ya vifuatavyo kina matundu matundu na hutumika katika hsughuli
za uvuvi?
A. Mtumbwi
B. Nyavu
C. Nyundo [ ]
D. Chambo
ix. Haki za mtoto ni Pamoja na….
A. Kuchota maji
C. Kuwahi shuleni
B. Kumwagilia bustani
D. Kulindwa [ ]
x. Binadamu wa kwanza duniani inaaminika aliishi wapi? [ ]
A. Marekani C.Tanzania
B. Kenya D.Uganda2. Oanisha maelezo yafuatayo katika orodha A na orodha B kwa kuandika herufi ya
jibu sahihi kwenye nafasi ya majibu uliyopewa.
ORODHA A JIBU ORODHA B
i. Kutoroka nyumbani na kusema uongo [ ] ii. Kuwatembelea wagonjwa [ ]
iii. Kupendwa na kulindwa [ ]
iv. Kitendo kinachofanyika mara kwa mara [ ]
v. Hali ya fungamano na wengine [ ]
A. Tabia
B. Ushirikiano
C. Uhusiano
D. Haki za mtoto
E. Matendo yanayofaa
F. Matendo yasiyofaa
G. Akiolojia
3. Chagua jibu sahihi katika kisanduku kisha jaza nafasi iliyoachwa wazi.
AKIOLOJIA, ENGARUKA, MAKUMBUSHO, KONDOA IRANGI, ENGARUKA, KUCHOCHEA
MAENDELEO,ISIMU HISTORIA
i. Ni chanzo gani cha historia hufafanua taarifa za mabadiliko katika lugha kwa vipindi
mbalimbali? _________________________________________________________
ii. Vitu vyenye historian a urithi kwa kiasili na kiutamaduni huhifadhiwa katika maeneo
yanayoitwa __________________________________________________________
iii. iv. Michoro ya mapangoni hupatikana wapi? ___________________________________
Ni umuhimu gani wa urithi katika taifa? ____________________________________
SEHEMU B (ALAMA 18)
4. Kamilisha jedwali lifuatalo linaloonesha rangi za Bendera ya Tanzania na Maana
zake kwa kuandika majibu sahihi katika nafasi zilizoachwa wazi.
Na. Rangi Maana
(i) Kijani ______________________
(ii) _______________________ Bahari, mito na maziwa
(iii) Nyeusi ____________________
(iv) ______________________
Rasilimali za madini5. 6. Tazama picha ifuatayo kwa maniki kisha ujibu maswali yanayofuata.
i. Taja jina la kifaa kinachowakilishwa na herufi A
ii. _______________________________________________________________
Taja jina la kifaa kinachowakilishwa na herufi B
iii. _______________________________________________________________
Vifaa vinavyoonekana katika picha hii vilitumika katika shughuli gani?
iv. _______________________________________________________________
Ni chakula gani kiliwekwa kwenye kifaa A ili kufanya shughuli uliyoitaja?
v. _______________________________________________________________
Shughuli iliyotumia vifaa vinavyoonekana katika picha hii ilifanyika sehemu gani?
________________________________________________________________
SEHEMU C (ALAMA 12)
Soma kwa makini habari ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.
Ufugaji ni miongoni mwa shughuli zilizofanywa na jamiii za kale. Mifugo iliyofugwa ni
Pamoja na mbuzi, ng’ombe na kondoo. Ufugaji ulifanyika maeneo yenye nyasi na maji ya
kutosha ili kuipatia mifugo malisho na maji. Siyo Wanyama pekee waliofugwa, bali ndege
kama bata na kuku walifungwa.
Jamii zilizojihusisha na mifugo zilikuwa na maarifa na ujuzi wa kutengeneza mafuta ya samli
kwa kutumia maziwa yatokanayo na wanyama. Mbali na samli, wafugaji walinufaika na
mifugo kwa kupata maziwa na nyama na mayai.
Maswali.
i. ii. iii. Ni shughuli gani imezungumziwa kwenye Habari hii? __________________________
Ni mafuta gani hutokana na maziwa ya wanyama? ___________________________
Ufugaji ulifanyika katika maeneno yaliyokuwa na vitu gani?
a.
___________________________________
b.
___________________________________
iv. v. Ni ndege gani walifugwa pia? ____________________________________________
Ni chakula gani kilipatikana kwa ndege waliofugwa pekee? ____________________